Pepo Nne: Diwani ya Malenga wa Mlima Meru (Swahili Edition)

Pepo Nne: Diwani ya Malenga wa Mlima Meru (Swahili Edition)

Product ID: 0557132266 Condition: New

Payflex: Pay in 4 interest-free payments of R177.75. Learn more
R 711
includes Duties & VAT
Delivery: 10-20 working days
Ships from USA warehouse.
Secure Transaction
VISA Mastercard payflex ozow
Buy in USA

Product Description

Pepo Nne: Diwani ya Malenga wa Mlima Meru (Swahili Edition)

"Pepo Nne" ni mkusanyiko wa mashairi 66 yaliyogawanywa katika vifungu vinne: Upepo wa Mapenzi, Vituko, Mafumbo na Maisha. Mithili pepo nne zivumazo angani, diwani hii ni mchanganyiko wa hisia, matukio, wasia na ndoto za "Malenga wa Mlima Meru". Zikutanapo, hatima yake ni uhondo wa mantiki uliokaangiwa mafuta ya ustadi wa sanaa na kutiwa viungo vya maadili, mafunzo, vichekesho na maswala yenye kusisimua bongo la msomaji. Diwani hii haikukusudiwa tu msomaji mwenye kutaka kukata kiu cha uraibu wa mashairi ya Kiswahili au hata kutafakari juu ya maisha - hasa siasa, utu na dini. Vilevile, inaweza kutumiwa kufundishia mbinu za utunzi wa mashairi. Kigaroni pamekwama swala nyeti la umalenga wa karne tuliyomo, na wasomi na wapenzi wengine wa fasihi hii wametoa maoni yanayohitilafiana kuhusu ni mashairi yapi yaliyo na hadhi ya juu zaidi - yenye kuungama sheria za jadi za mashairi - kama vile Pepo Nne - au yasiyozijali, yaani 'free verse' au, wayaitavyo wenye kuegemea ukae kama mwandishi wako, 'mashairi guni'?

Technical Specifications

Country
USA
IsAdultProduct
Height
8.2677
Length
5.82676
Weight
0.51
Width
0.3
ReleaseDate
2009-09-28T00:00:01Z